title : Halotel ilivyotoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar
kiungo : Halotel ilivyotoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar
Halotel ilivyotoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar
Alisema mbali na kampuni hiyo kutoa msaada huo kwa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu Dar es Salaam, wamezielekeza ofisi zao mikoa mbalimbali Tanzania kusaidia makundi hayo kama walivyofanya jijini Dar es Salaam. Alisema utaratibu huo utakuwa wa kila mara ili kujenga mahusiano mazuri na jamii hiyo ambayo pia ni wateja wa kampuni yao.
“…Kwanza tumeanza kuwaita na kuzungumza nao kujua masuala mbalimbali yanayowakabili na huu utakuwa ni utaratibu wa kawaida kabisa kujumuika na makundi haya na kusaidiana,” alisema Nguyan Thanh Binh akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhi msaada huo kwa vikundi.
Kila kikundi kimepewa mfuko wa mchele, galoni la mafuta ya kula pamoja na mbuzi wawili ikiwa ni mkono wa Siku Kuu ya Eid Mubarak inayotarajia kuadhimishwa kesho duniani pote.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Nguyan Thanh Binh akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya zoezi la kukabidhi msaada wa vyakula kwa vituo 10 vya Watoto Yatima na Wanaoishi katika Mazingira Magumu ikiwa ni zawadi ya Eid Mubarak.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Halotel, Mhina Semwenda (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya zoezi la kukabidhi msaada wa vyakula kwa vituo 10 vya Watoto Yatima na Wanaoishi katika Mazingira Magumu ikiwa ni zawadi ya Eid Mubarak. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Nguyan Thanh Binh.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Nguyan Thanh Binh (wa pili kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Halotel, Mhina Semwenda (mwenye kanzu) wakikabidhi kiroba cha mchele, mafuta pamoja na mbuzi wawili kwa baadhi ya viongozi na watoto wa Kituo cha Yatima cha Mwandaliwa cha jijini Dar es Salaam ikiwa ni zawadi ya Eid Mubarak.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Nguyan Thanh Binh (wa pili kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Halotel, Mhina Semwenda (mwenye kanzu) wakikabidhi kiroba cha mchele, mafuta pamoja na mbuzi wawili kwa baadhi ya viongozi na watoto wa Kituo cha Yatima cha Mwandaliwa cha jijini Dar es Salaam ikiwa ni zawadi ya Eid Mubarak
.Baadhi ya viongoni na wawakilishi wa vituo vya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dar es Salaam pamoja na watoto wakiwa wamesimama kabla ya kupokea mkono wa Eid Mubarak kutoka Kampuni ya Halotel.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Nguyan Thanh Binh (wa nne kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Halotel, Mhina Semwenda (wa kwanza kulia) wakikabidhi mbuzi wawili kwa baadhi ya viongozi na watoto wa Kituo cha Watoto Yatima na Wanaoishi katika Mazingira Magumu cha Kigamboni cha jijini Dar es Salaam ikiwa ni zawadi ya Eid Mubarak. Kituo hicho pia kilikabidhiwa kiroba cha mchele na mafuta ya kupikia kwa ajili ya watoto kusherehekea siku kuu ya Eid Mubarak.
Hivyo makala Halotel ilivyotoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar
yaani makala yote Halotel ilivyotoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Halotel ilivyotoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/halotel-ilivyotoa-mkono-wa-eid-kwa.html
0 Response to "Halotel ilivyotoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar"
Post a Comment