title : CUF KUIFIKISHA KORTINI WAKALA WA USAJILI, UFILISI NA UDHAMINI (RITA)
kiungo : CUF KUIFIKISHA KORTINI WAKALA WA USAJILI, UFILISI NA UDHAMINI (RITA)
CUF KUIFIKISHA KORTINI WAKALA WA USAJILI, UFILISI NA UDHAMINI (RITA)
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi(CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu madai ya kuhujumu chama hicho, Kulia ni Mbunge wa Viti Maalumu wa chama hicho, Seveline Mwijage. |
Maofisa wa Chama hicho wakiwa meza kuu wakati wa mkutano na wanahabari.
Wabunge wa chama hicho wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Wapiga picha kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto Mwaibale
CHAMA cha Wananchi (CUF), kinatarajia kumfikisha mahakamani Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA)
kwa kukiuka taratibu za sheria ya wadhamini kwa kutojiridhisha juu ya uhalali wa majina ya Bodi ya Wadhamini yaliyofikishwa kwake kama yalipitishwa na kikao halali cha chama kwa mujibu wa katiba.
Kauli hiyo ameitoa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema wanachukua hatua hiyo kutokana RITA kushindwa kutumia mwongozo na weledi katika kutekeleza majukumu yao.
Hivyo makala CUF KUIFIKISHA KORTINI WAKALA WA USAJILI, UFILISI NA UDHAMINI (RITA)
yaani makala yote CUF KUIFIKISHA KORTINI WAKALA WA USAJILI, UFILISI NA UDHAMINI (RITA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CUF KUIFIKISHA KORTINI WAKALA WA USAJILI, UFILISI NA UDHAMINI (RITA) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/cuf-kuifikisha-kortini-wakala-wa_99.html
0 Response to "CUF KUIFIKISHA KORTINI WAKALA WA USAJILI, UFILISI NA UDHAMINI (RITA)"
Post a Comment