BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO
kiungo : BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

soma pia


BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)  leo imemtia mbaroni kijana mmoja aliyekuwa akijifanya daktari.  Mtuhumiwa alikuwa akijitambulisha kwa wagonjwa kwamba anaitwa Dk Abdallah Juma na akijifanya kutoa huduma katika Maabara Kuu. 
Uongozi wa hospitali hiyo umesema kuwa kijana huyo ni daktari feki na si daktari kama alivyokuwa akijitambulisha na kwamba amekamatwa baada ya kuwekewa mtego na askari wa hospitali hiyo. Uongozi wa hospitali hiyo umesema kuwa walinzi walikuwa wakimtilia shaka na kuanza kumfuatilia hadi walipofanikiwa kumkamata. 
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa Hospitali hiyo, Aminiel Aligaesha amesema hospitali imeweka mikakati mbalimbali ya kupambana na wahalifu wakiwamo watu wanaojiita ni madaktari kama huyo ambaye amekamatwa leo.
 Kulia ni daktari feki ambaye amekuwa akijitambulisha kwamba ni Dkt, Abdallah Juma ambaye amekuwa akifanya kazi katika Maabara Kuu, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa na mmoja wa askari wa Muhimbili (kushoto).
Daktari feki huyo ambaye amekuwa akijitambulisha kwamba ni Dkt. Abdallah Juma akiwa chini ya ulinzi


Hivyo makala BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

yaani makala yote BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/breaking-newzzzz-daktari-feki-adakwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWZZZZ: DAKTARI FEKI ADAKWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO"

Post a Comment