title : Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella
kiungo : Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella
Mh. Balozi George Kahema Madafa katika tukio la kukabidhi hati za utambulisho kwa Rais Wa Jamhuri ya Italia Mh. Sergio Mattarella kwenye Ikulu ya Rais jijini Roma hapo hivi karibuni. Mh. Balozi Madafa aliambatana na maafisa wawili wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia pamoja na mkewe Bi. Esther Bhoke Madafa.
Mh. Balozi George Kahema Madafa akikabidhi hati za utambulisho kwa Rais Wa Jamhuri ya Italia Mh. Sergio Mattarella kwenye Ikulu ya Rais jijini Roma hapo hivi karibuni. Mh. Balozi Madafa aliambatana na maafisa wawili wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia pamoja na mkewe Bi. Esther Bhoke Madafa.
Baadhi ya maafisa wawili wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia pamoja na mkewe Bi. Esther Bhoke Madafa wakisalimiana na Rais Wa Jamhuri ya Italia Mh. Sergio Mattarella kwenye Ikulu ya Rais jijini Roma.
Hivyo makala Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella
yaani makala yote Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/balozi-wa-tanzania-nchini-italia-mh_18.html
0 Response to "Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh. George Kahema Madafa akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Italia Mh. Sergio Mattarella"
Post a Comment