title : Balozi Seif Azuingumza na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Jijini Dar es Salaam leo.
kiungo : Balozi Seif Azuingumza na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Jijini Dar es Salaam leo.
Balozi Seif Azuingumza na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kulia akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi leo asubuhi Ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
Viongozi hao wamekuwa na Utamaduni wa kawaida wa kukutana katika dhana nzima ya mfumo wa kuhudumia Wananchi katika utendaji na ushirikiano wa pamoja kati ya Serikali zote mbili ile ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jijini Dar es salaam.
Picha na – OPMR – ZNZ.
Hivyo makala Balozi Seif Azuingumza na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Jijini Dar es Salaam leo.
yaani makala yote Balozi Seif Azuingumza na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Jijini Dar es Salaam leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif Azuingumza na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Jijini Dar es Salaam leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/balozi-seif-azuingumza-na-makamu-wa.html
0 Response to "Balozi Seif Azuingumza na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Jijini Dar es Salaam leo."
Post a Comment