Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali.

Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali.
kiungo : Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali.

soma pia


Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali.

Marehemu Dr. Karim Zam Ali amefariku dunia jana na kuzikwa leo katika kijiji chao cha Dimani Wilaya ya Magharibi B Unguja, wakati wa uhai wake aliwahi kuwa Afisa wa Kitengo cha Dawa za Usingizi   (Anaesthetist) ambae pia ni Mkufunzi wa Huduma ya kwanza katika Chuo cha Mwenge kiliopo Amani Mjini Zanzibar Dr. Karim Zam Ali aliyefariki Dunia Jana amezikwa Kijijini kwao Dimani Wilaya ya Magharibi “B”.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akiwafariji Wake wa Marehemu Dr. Karim Zam Ali alipofika Dimani kuwapa mkono wa pole  kufuatia Kifo cha Baba Watoto wao.Kushoto kwa Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi mheshimiwa Ayoub Mohamed Mahmoud.
Balozi Seif  Kushoto  akiifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim  Zam Ali alipofika Kijiji kwao Dimani leo mchana kutoka mkono wa pole  kufuatia kifo cha mpendwa wao ambao aliwahi kuwa Daktari wa Michezo hapa Zanzibar.
Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali.

yaani makala yote Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/balozi-seif-aifariji-familia-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Seif Aifariji Familia ya Marehemu Dr. Karim Zam Ali."

Post a Comment