title : ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS
kiungo : ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS
ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga na Taifa Stars Ally Mayay ‘Tembele’ leo Juni 19, 2017 amechukua fomu ya kugombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF).
Mayay sambamba na mchezaji mwingine wa zamani Mtemi Ramadhani walifika TFF kwa ajili ya kuchukua fomu ambapo Mtemi Ramadhani yeye anawania nafasi ya makamu wa Rais wa TFF.
Wawili hao walisindikizwa ofisi za TFF na wadau mbalimbali wa soka akiwemo kocha Jamhuri Kiwelu ‘Julio’ pamoja na Jembe Ulaya.
Hivyo makala ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS
yaani makala yote ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/ally-mayay-aamua-kupambana-na-malinzi_19.html
0 Response to "ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS"
Post a Comment