AJALI YA MOTO - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AJALI YA MOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
AJALI YA MOTOkiungo :
AJALI YA MOTO
AJALI YA MOTO
Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara, gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na Mwanza.Chanzo cha Moto huo bado hakijafahamika,taarifa za awali kutoka kwa baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo pamoja na abiria wameeleza kuwa baadhi ya mali za abiria zimeketea kwa moto,hakuna mtu aliyepoteza maisha..PICHA NA CLEO 24 NEWS
HABARI KAMILI TUTAENDELEA KUKUFAAMISHA



Hivyo makala AJALI YA MOTO
yaani makala yote AJALI YA MOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AJALI YA MOTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/ajali-ya-moto.html
0 Response to "AJALI YA MOTO"
Post a Comment