Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo

Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo
kiungo : Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo

soma pia


Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) alipokuwa akiangalia maji ya Mvua yaliyofurika katika bonde la Mwanakwerekwe nyumba mbili leo kutokana na ujenzi holela wa Nyumba za Wananchi zilizojengwa na kupelekea kutopitisha maji katika njia inayoelekea Ziwa Maboga, kutokana na mvua kubwa za Masika zinazoendelea kunyesha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akiangalia maji yanayopita katika barabara ya Mwera gudini – Fuoni meli saba leo wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea maoneo mbali mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika zinazoendelea kunyesha (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud.
Pichani ni maji ya Mvua yakiwa yamefurika na kupelekea kufunga njia ambapo wananchi na magari hupita kwa taabu kubwa katika barabara ya Bonde la Kibonde Mzungu,wakati leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( hayupo pichani) alitembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake katika ziara maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (kulia) alipotembelea barabara ya Mwera gudini – Fuoni meli saba leo wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea maoneo mbali mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika zinazoendelea kunyesha (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akiangalia ramani inayoonesha utaratibu wa Ujenzi wa Mitaro kutoka kwa Mkuu ya Idara ya Mipango Miji,Kazi na Ujenzi katika Baraza la Manispaa ya Zanzibar Nd,Mzee Khamis Juma (kulia) wakati alipotembelea Bonde la Maji mwanakwerekwe leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maoneo mbali mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika zinazoendelea kunyesha (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Mohamed Aboud Mohammed,[Picha na Ikulu.]14/05/2017.



Hivyo makala Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo

yaani makala yote Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ziara-ya-rais-dkshein-maenneo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo"

Post a Comment