YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS

YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS
kiungo : YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS

soma pia


YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS

Mwambawahabari

DSC_0117
 Timu ya Yanga ikiweka Gori la kwanza ambalo limefungwa na Deus Kaseke aliyefungua pazia hilo la mabao kufunga dakika ya 45 kipindi cha Kwanza.

Mashambulizi yakiendelea kwa Timu zote mbili Yanga na Buseresere FC.




YANGA imepoza machungu ya kuvuliwa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayojulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwa kuwafunga wenyeji, Buseresere mabao 5-0 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Shule ya msingi Waja, Geita.

Yanga Jumapili ilivuliwa ubingwa wa ASFC baada ya kufungwa 1-0 na Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Na katika kujiandaa na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga walirudi Geita walikopita kabla ya kucheza na Mbao, kucheza mchezo wa kirafiki.  


Na wakawaonyesha mashabiki wao kwamba kipigo cha Mbao ilikuwa ni kuteleza tu, kwani wao bado imara kabisa – baada ya kuitandika Buseresere 5-0. 


Mabao ya Yanga leo yamefungwa na viungo Emmanuel Martin mawili dakika za 49 na 72, Deus Kaseke dakika ya 44 na washambuliaji Matheo Anthony dakika ya 88 na Amissi Tambwe dakika ya 90.


Pamoja na kufungwa, mabingwa wa mkoa Geita, Buseresere walionyesha upinzani kwa mabingwa wan chi Yanga.


Kikosi cha Yanga leo kilikuwa; Benno Kakolanya/Ally Mustafa ‘Barthez’ dk78, Juma Abdul/Hassan Kessy dk77, Oscar Joshua, Andrew Vincent ‘Dante’, Kelvin Yondan/Nadiri Haroub ‘Cannavaro’ dk78, Saidi Juma ‘Makapu’/Thabani Kamusoko dk85, Deus Kaseke/Simin Msuva dk75, Justin Zulu, Juma Mahadhi/Amissi Tambwe dk75, Matheo Anthony na Emmanuel Martin/Geoffrey Mwashiuya dk75. 


Yanga inatarajiwa kuondoka Geita Alhamisi kurejea Dar es Sakaam tayari kwa mchezo wake wa Ligi Kuu dhidi ya Prisons Uwanja wa Taifa Jumamosi. 


Hivyo makala YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS

yaani makala yote YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/yanga-yaipiga-kipigo-cha-bao-tano-timu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA YAIPIGA KIPIGO CHA BAO TANO TIMU YA BUSERE SERE FC ,YAHAIDI KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAKE ZIDI YA PRISONS"

Post a Comment