RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA

RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA
kiungo : RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA

soma pia


RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA

Mwambawahabari
3FDFD18400000578-4467182-image-m-62_1493756654097
Hattrick yake ya 7 katika michuano ya Champions League imemfanya Cristiano Ronaldo aifikie rekodi aliyokuwa nayo Lioneil Messi katika mashindano hayo ya UEFA.

Cristiano Ronaldo alikuwa mwiba mchungu kwa Atletico Madrid kwani mabao matatu aliyofunga, moja kipindi cha kwanza na mawili kipindi cha pili yalitosha kuiangamiza kabisa Atletico Madrid.

Real Madrid wanaendeleza ubabe wao kwa Atletico Madrid katika michuano ya Champions League kwani toka mwaka 1958 Atletico Madrid hawajawahi kuitoa Real katika mchuano hiyo.

Matokeo hayo yanaiweka Real Madrid katika nafasi kubwa kucheza fainali ya Champions League msimu huu kwani mechi ya pili itawabidi Atletico kuwafunga Real mabao manne ili wafudhu.
 
Katika mchezo huo Atletico Madrid walionekana kupwaya sana kwani hadi kipindi cha kwanza kinaisha walikuwa hawajapiga hata shuti moja kuelekea langoni kwa Real Madrid.
Atletico watawakaribisha Real wiki ijayo kujaribu kubadili matokeo haya ya mwanzo, leo inapigwa nusu fainali ya pili ambapo Monaco wataikaribisha Juventus.


Hivyo makala RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA

yaani makala yote RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ronaldo-aimaliza-atletico-madrid-uefa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RONALDO AIMALIZA ATLETICO MADRID UEFA CHAMPIONS LIGI NUSU FAINALI YA KWANZA"

Post a Comment