title : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 12, 2017
kiungo : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 12, 2017
YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 12, 2017
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Hivyo makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 12, 2017
yaani makala yote YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 12, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 12, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/yaliyojiri-katika-kikao-cha-23-mkutano.html
0 Response to "YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 12, 2017"
Post a Comment