Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola.

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola.
kiungo : Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola.

soma pia


Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola.

WAZIRI UMMY: UGONJWA WA EBOLA HAUJAFIKA TANZANIA.wazi
“Kupitia wataalam wa afya waliopo katika mipaka ya nchi serikali itakuwa ikitoa taarifa za mara kwa mara ya namna uzuiaji wa ugonjwa huo kwa wananchi na wanapata elimu ya kutosha ya kujikinga na virusi vya Ebola”, alisema Waziri Ummy.

Waziri Ummy aliongeza kuwa wananchi wanashauriwa kutoa taarifa pamoja na kupata elimu kuhusu ugonjwa wa Ebola kwa kupiga simu namba 117 na kupata huduma bila ya malipo kwa mitandao yote.

Aliongeza kuwa Serikali imeendelea kutoa mafunzo kwa wataalamu wake walioko mipakani ikiwa ni pamoja na utoaji wa vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo pamoja na vidonge kwa wataalamu hao walioko mipakani.

“Serikali tayari imeagiza mashine nne kwa ajili ya kufanya vipimo katika mipaka yetu pamoja na viwanja vya ndege na bandari zetu na tutahakikisha kila mgeni anayewasili nchini kutokea Congo anasajiliwa,” alisema Waziri Ummy.

Ugonjwa wa Ebola unasababishwa na kugusa majimaji yanayotoka kwa mgonjwa mwenye virusi vya Ebola na mizoga na dalili za ugonjwa huu zinatokea baada ya siku mbili pindi mgonjwa anapopata maambukizi ya ugonjwa huo zikiwemo kutokwa na damu sehemu za puani, masikioni na homa kali.



Hivyo makala Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola.

yaani makala yote Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/waziri-wa-afya-mhe-ummy-mwalimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu: Tanzinaiv Haijafikiwa na Ugonjwa wa Ebola."

Post a Comment