title : WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
kiungo : WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Mwambawahabari
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba, akiwa katika mkutano na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Jijini Dar Es Salaam leo, akizungumza kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika kila mwaka Tarehe 5 Juni, ambapo Kitaifa mwaka huu yatafanyika Mkoani Mara kijijini Butiama kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambapo Pamoja na Mambo Mengine pia alikuwa Mwanaharakati wa Mazingira. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Mkamu wa Rais Mwandisi Ngosi Mwihava.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba, akiwa katika mkutano na waandishi wa Habari ( Hawapo Pichani) katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Jijini Dar Es Salaam leo, akizungumza kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika kila mwaka Tarehe 5 Juni, ambapo Kitaifa mwaka huu yatafanyika Mkoani Mara kijijini Butiama kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambapo Pamoja na Mambo Mengine pia alikuwa Mwanahakati wa Mazingira. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Professor Faustin Kamuzora na kulia ni Naibu katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Mwandisi Ngosi Mwihava. ( Picha na Evelyn Mkokoi OMR)
Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/waziri-makamba-azungumzia-maadhimisho.html
0 Response to "WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI"
Post a Comment