wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji

wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji
kiungo : wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji

soma pia


wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, mhandisi Zephania Chaula (pichani) amewataka wananchi wa Kijiji cha Losoito, kuitunza na kutohujumu miundombinu ya maji yaliyowezeshwa na kampuni ya TanzaniteOne.

Mhandisi Chaula aliyasema hayo juzi alipofanya ziara ya siku moja kwenye kijiji hicho baada ya kupatiwa taarifa kuwa kuna baadhi ya watu wameharibu miundombinu hiyo kwa kukata mabomba.

Alisema miundombinu hiyo imewezeshwa kwa pamoja na kampuni ya TanzaniteOne na Serikali kwani wanamiliki mgodi huo kwa asilimia 50 kwa 50 hivyo jamii inapaswa kuyatunza kuyathamini na kuyalinda maji.

Alisema atamchukulia hatua mtu yeyote atakayekamatwa akiharibu miundombinu ya maji kwani wananchi wa eneo hilo kwa muda mrefu waliteseka kufuata huduma hiyo umbali mrefu hadi Mirerani.

“Nimeambiwa awali kuna mama alishajifungua njiani wakati akifuata maji na baba wa kimasai akakata kitovu cha mtoto kwa kutumia sime kasha leo mtu anaharibu miundombinu hii,” alisema mhandisi Chaula.

Mkazi wa Kijiji hicho, Magdalena Peter alisema anashukuru kampuni ya TanzaniteOne kwa kuwezesha mradi huo wa maji ila bado kuna changamoto ya upatikanaji kwani wanayapata mara mbili kwa wiki.

“Awali tulikuwa tunapata maji hayo kwa wakati fofauti na tulivyokuwa tunatembea kilomita 40 hadi Mirerani ila hivi sasa tunawakati mgumu baada ya tenki hilo kupasuka,” alisema Peter.

Ofisa mahusiano wa kampuni ya TanzaniteOne, Halfan Hayeshi alisema anaomba apewe muda wa wiki mbili ili ahakikishe anafanyia matengenezo sehemu za miundombinu iliyoharibika eneo hilo.

“Nitakuja na mafundi wiki ijayo ili waangalie na kuikarabati miundombinu hiyo na pia tutanunua tenki lenye ujazo wa lita 10,000 tofauti na hili la lita 5,000 linalotumika hivi sasa,” alisema Hayeshi.


Hivyo makala wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji

yaani makala yote wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wananchi-kijiji-cha-losoito-watakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "wananchi Kijiji cha Losoito watakiwa kutunza na kutohujumu miundombinu ya maji"

Post a Comment