WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO

WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO
kiungo : WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO

soma pia


WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO

Umoja wa Wakulima wa Ndimu wa Kikundi cha Juhudi Zetu kilichopo Bwejuu, mjini Unguja wametoa kilio chao cha kukosa soko la ndimu wanazozalisha kwa uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Wakizungumza na ugeni huo, wakulima hao wamesema kwa muda mrefu sasa wamekosa soko la uhakika la mazao yao kwa kukosa mnunuzi wa uhakika licha ya kulima kisasa na kupata mazao mengi.
Mmoja wa wakulima hao Bw. Shafi Hamadi Mussa amesema kuwa kwa muda mrefu sasa wamekosa soko la uhakika la mazao ya hali inayorudisha nyuma ari ya kuendelea kulima zao hilo.
“Tunakatishwa tamaa kwa kukosa soko la uhakika licha uwekezaji mkubwa tunaoufanya katika kulima kisasa,” Bw. Mussa alisema.
Bw. Mgana Khatibu Mgana, mkulima mwengine wa Umoja huo amesema changamoto ya ukosefu wa masoko inaweza kutatuliwa kwa kupatiwa mkopo nafuu wa kununulia mitambo ya uchakataji wa mazao ambayo itatumika kuongeza thamani kwa mazao yao.
 Ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakikagua mashamba ya midimu wakati walipotembelea mashamba ya Umoja wa Wakulima wa Ndimu wa Kikundi cha Juhudi Zetu kilichopo Bwejuu, mjini Unguja.
 Ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakikagua mashamba ya midimu wakati walipotembelea mashamba ya Umoja wa Wakulima wa Ndimu wa Kikundi cha Juhudi Zetu kilichopo Bwejuu, mjini Unguja.
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (kulia) akioneshwa miundombinu ya umwagiliaji ya kilimo cha ndimu. Anayemuonesha ni Bw. Mgana Khatibu Mgana na (kushoto) na Bw. Kombo Haji Mussa (katikati).
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (kulia) akiangalia namna midimu inavyomwagiliwa maji.
Meneja wa Mikopo wa TADB, Bw. Samuel Mshote (kushoto) akiangalia ndimu zilizoanguka kwa kukosa wateja. Kwa mujibu wa wakulima wa ndimu, ndimu huuzwa ikiwa katika hali ya kijani lakini changamoto za kukosa soko hupelekea ndimu za wakulima wa Kijiji cha Bwejuu kuivia mtini. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA


Hivyo makala WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO

yaani makala yote WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wakulima-wa-ndimu-bwejuu-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO"

Post a Comment