title : Wafanyakazi wa Zantel washiriki kufanya usafi soko la Samaki la Kunduchi Jijini Dar
kiungo : Wafanyakazi wa Zantel washiriki kufanya usafi soko la Samaki la Kunduchi Jijini Dar
Wafanyakazi wa Zantel washiriki kufanya usafi soko la Samaki la Kunduchi Jijini Dar
MwambawahabariZeozi hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam ambapo kampuni hiyo ilikabidhi pia vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko hilo ili kuendeleza utamaduni huo.
Wafanyakazi wa Kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakishiriki kufanya usafi katika soko la Samaki la Kunduchi. Zeozi hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam ambapo kampuni hiyo ilikabidhi pia vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko hilo ili kuendeleza utamaduni huo.

Meneja Chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (Kulia) akishiriki kufanya usafi katika soko la Samaki la Kunduchi ikiwa ni moja ya hatua ya uwajibikaji wa Kampuni hiyo kwa jamii katika kuweka mazingira yao safi na salama. Zeozi hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam ambapo kampuni hiyo ilikabidhi pia vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko hilo ili kuendeleza utamaduni huo.
Meneja Chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (mwenye kofia nyeusi kulia) akizungumza na uongozi wa soko la Samaki la Kunduchi mara baada ya wafanyakazi wa Zantel kumaliza zoezi la kufanya usafi katika soko hilo mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam. Zoezi hilo ni moja ya hatua ya uwajibikaji wa Kampuni hiyo kwa jamii katika kuweka mazingira yao safi na salama ambapo kampuni hiyo ilikabidhi pia vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko hilo ili kuendeleza utamaduni huo.
Meneja Chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (mwenye kofia nyeusi kulia) na Meneja Mwajiri Zantel, Frank Jackson (mwenye kofia nyeusi kushoto) wakikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko la Samaki la Kunduchi mara baada ya wafanyakazi wa Zantel kumaliza zoezi la kufanya usafi katika soko hilo mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam. Zoezi hilo ni moja ya hatua ya uwajibikaji wa Kampuni hiyo kwa jamii katika kuweka mazingira safi na salama ambapo kampuni hiyo iliwataka wadau hao kuendeleza utamaduni huo.
Hivyo makala Wafanyakazi wa Zantel washiriki kufanya usafi soko la Samaki la Kunduchi Jijini Dar
yaani makala yote Wafanyakazi wa Zantel washiriki kufanya usafi soko la Samaki la Kunduchi Jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi wa Zantel washiriki kufanya usafi soko la Samaki la Kunduchi Jijini Dar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wafanyakazi-wa-zantel-washiriki-kufanya_22.html
0 Response to "Wafanyakazi wa Zantel washiriki kufanya usafi soko la Samaki la Kunduchi Jijini Dar"
Post a Comment