title : WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAADHIMISHA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI KWA KUTEMBELEA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
kiungo : WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAADHIMISHA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI KWA KUTEMBELEA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAADHIMISHA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI KWA KUTEMBELEA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
Meneja wa Afya, Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Nashon Mudala (aliyesimama kulia) akifafanua kuhusu alama muhimu za usalama kwa wafanyakazi wa Zantel ambazo wanatakiwa kuzizingatia pindi wanapokuwa kazini wakati wa ziara fupi katika kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
Ziara hiyo ilifanywa na wafanyakazi hao mara baada ya kukamilisha matembezi mafupi ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama mahali pa kazi duniani. Katikati ni Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama barabarani wa Wilaya ya Kinondoni, ACP Theopista Mallya, Mkuu wa Sheria na Manunuzi Zantel, Rehema Khalid (Kushoto) na Afisa Mkuu wa masuala ya kiufundi Zantel, Larry Arthur.
Askari wa Usalama barabarani, Wilaya ya Kinondoni S/SGT Rehema (kulia) akieleza kuhusu masuala ya usalama barabarani kwa wafanyakazi wa Zantel katika kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki mara baada ya wafanyakazi hao kukamilisha matembezi mafupi ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama mahali pa kazi duniani. Waliokaa Kushoto ni Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama barabarani wa Wilaya ya Kinondoni ACP Theopista Mallya na Afisa Mkuu wa masuala ya kiufundi Zantel, Larry Arthur
Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama barabarani wa Wilaya ya Kinondoni, ACP Theopista Mallya akizungumza na wafanyakazi wa Zantel walipomtembelea katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki mara baada ya wafanyakazi hao kukamilisha matembezi mafupi ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama mahali pa kazi duniani.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Benoit Janin akizungumza na wafanyakazi wa Zantel mara baada ya wafanyakazi hao kuhitimisha matembezi mafupi ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama mahali pa kazi duniani. Hafla hiyo iliyofanyika katika makao makuu ya Kampuni hiyo Msasani jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.

Hivyo makala WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAADHIMISHA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI KWA KUTEMBELEA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
yaani makala yote WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAADHIMISHA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI KWA KUTEMBELEA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAADHIMISHA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI KWA KUTEMBELEA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wafanyakazi-wa-zantel-waadhimisha-siku.html
0 Response to "WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAADHIMISHA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI KWA KUTEMBELEA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY"
Post a Comment