title : Viwanja Vinauzwa Kwa Bei Poa Vipo Katika Maeneo ya Kisemvule Mkuranga Mkoani Pwani.
kiungo : Viwanja Vinauzwa Kwa Bei Poa Vipo Katika Maeneo ya Kisemvule Mkuranga Mkoani Pwani.
Viwanja Vinauzwa Kwa Bei Poa Vipo Katika Maeneo ya Kisemvule Mkuranga Mkoani Pwani.
Sehemu ya viwanja hivyo vinavyoonekana nyuma ya Kiwanda cha Saruji cha Rhino kilichopo eneo hilo la Kisemvule.
Kijana anayesimamia viwanja hivyo akionesha mipaka.
Viwanja hivyo vikiwa vimepimwa na kuwekewa bicon
Mmoja wa wafanyabiashara alikiangalia viwanja hivyo kwa ajili ya kuvinunua.
VIWANJA VINAUZWA VIMEKWISHA PIMWA UKUBWA WAKE NI 15X15 BEI NI SHILINGI MILIONI 2 NA NUSU NA VYENYE UKUBWA WA 30X30 NI SH. MILIONI 5 VIPO KIJIJI CHA KISEMVULE KATA YA VIKINDU WILAYA YA MKURANGA MKOANI PWANI JIRANI NA KIWANDA CHA SARUJI CHA RHINO BARABARA KUU YA KWENDA MIKOA YA KUSINI NA VIPO KATIKA MIUNDOMBINU YA BARABARA, MAJI NA UMEME, ANAYEVIHITAJI ANAWEZA KUWASILIANA MOJA KWA MOJA NA MUHUSIKA KWA NAMBA 0756430981.
Hivyo makala Viwanja Vinauzwa Kwa Bei Poa Vipo Katika Maeneo ya Kisemvule Mkuranga Mkoani Pwani.
yaani makala yote Viwanja Vinauzwa Kwa Bei Poa Vipo Katika Maeneo ya Kisemvule Mkuranga Mkoani Pwani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Viwanja Vinauzwa Kwa Bei Poa Vipo Katika Maeneo ya Kisemvule Mkuranga Mkoani Pwani. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/viwanja-vinauzwa-kwa-bei-poa-vipo.html
0 Response to "Viwanja Vinauzwa Kwa Bei Poa Vipo Katika Maeneo ya Kisemvule Mkuranga Mkoani Pwani."
Post a Comment