UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU

UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU
kiungo : UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU

soma pia


UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

UCHAGUZI wa viongozi wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu (TAFCA) Mkoa wa Kinondoni uliokuwa ufanyike Mei 7 mwaka huu jijini Dar es Salaam sasa umesogezwa mbele hadi Juni 4.


Uamuzi wa kusogeza mbele uchaguzi huo umetokana na mwitikio mdogo wa uchukuaji fomu kwa wagombea. Muda wa uchukuaji fomu sasa umeongezwa hadi Mei 7 mwaka huu.

Fomu kwa ajili ya wagombea zinatolewa kwenye ofisi za Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Kinondoni (KIFA) kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni.

Ada ya fomu kwa wagombea wa nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Katibu Msaidizi na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TAFCA ni sh. 50,000 wakati Mhazini, Mhazini Msaidizi na wajumbe wa Kamati ya Utendaji ni sh. 30,000.

Ajenda ya uchaguzi itatanguliwa na Mkutano Mkuu wa Kawaida ambao mbali ya taarifa ya utendaji, Kamati ya Utendaji inayomaliza muda wake pia itawasilisha ripoti ya mapato na matumizi.

Kamati ya Uchaguzi ya TAFCA Kinondoni inaongozwa na Mwenyekiti wa zamani wa TAFCA, Ramadhan Mambosasa.

Kamati ya Utendaji ya TAFCA Kinondoni inayomaliza muda wake inaongozwa na Mwenyekiti Eliutery Mholery (0715 621 667) na Katibu Mkuu wake Mbwana Makata (0655 520 129).



Hivyo makala UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU

yaani makala yote UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/uchaguzi-wa-chama-cha-makocha-kinondoni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKOCHA KINONDONI SASA JUNE 4 MWAKA HUU"

Post a Comment