title : Miundombinu ya Barabara Iliyoharibika Kutokana na Mvua za Masiki Tayari Zimeshafanyiwa Ukarabati Kisiwani Pemba na Kuendelea Kutowa Huduma Kwa Wananchi..
kiungo : Miundombinu ya Barabara Iliyoharibika Kutokana na Mvua za Masiki Tayari Zimeshafanyiwa Ukarabati Kisiwani Pemba na Kuendelea Kutowa Huduma Kwa Wananchi..
Miundombinu ya Barabara Iliyoharibika Kutokana na Mvua za Masiki Tayari Zimeshafanyiwa Ukarabati Kisiwani Pemba na Kuendelea Kutowa Huduma Kwa Wananchi..
Injinia kutoka Wizara Ujnezi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, Mohamed Mzee mwenye jaketi lenye kofia, akitoa maelezo kwa Viongozi mbali mbali wa Serikali juu ya hatua walizozichukuw akuhakikisha wananchio wanapita katika barabara ya Pujini, baada ya kuijaza kifusi, barabra hiyo ilikatika na kutenganisha njia kufuatia mvua zinazoendelea kunyeshaBARABARA ya Pujini Chake Chake katika Sehemu ya Daraja iliyoharibika na kuchukuliwa na Maji ya Mvua zinazoendelea kunyesha, ikiwa imeshafainyiwa Ukarabati na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, kama inavyoonekana katika Picha wananchi wanaweza kupita sasa
NAIBU katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Mhe:Shomar Omar Shomar, akizungumza na Viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kusini Pemba, baada ya kukagua hali ya urudishaji wa barabara ya Pujini iliyoharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Pemba.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA
Hivyo makala Miundombinu ya Barabara Iliyoharibika Kutokana na Mvua za Masiki Tayari Zimeshafanyiwa Ukarabati Kisiwani Pemba na Kuendelea Kutowa Huduma Kwa Wananchi..
yaani makala yote Miundombinu ya Barabara Iliyoharibika Kutokana na Mvua za Masiki Tayari Zimeshafanyiwa Ukarabati Kisiwani Pemba na Kuendelea Kutowa Huduma Kwa Wananchi.. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Miundombinu ya Barabara Iliyoharibika Kutokana na Mvua za Masiki Tayari Zimeshafanyiwa Ukarabati Kisiwani Pemba na Kuendelea Kutowa Huduma Kwa Wananchi.. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/miundombinu-ya-barabara-iliyoharibika.html
0 Response to "Miundombinu ya Barabara Iliyoharibika Kutokana na Mvua za Masiki Tayari Zimeshafanyiwa Ukarabati Kisiwani Pemba na Kuendelea Kutowa Huduma Kwa Wananchi.."
Post a Comment