UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI

UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI
kiungo : UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI

soma pia


UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI

Babalozi kutoka nchi mbali mbali wakiwasha mishumaa wakiongozwa na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Kayihura kwenye maaadhimisho ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Saalam.
 Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akiongozana na Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati wakiwasili kwenye Ukumbi wa Mlimani city Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Maadhimisho ya  Kumbukumbu ya Mauaji wa Kimbari dhidi ya Watusi yaliyotokea miaka 23 iliyopita huko nchini Rwanda.

Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe Edzai Chimonyo akizungumza kwenye maadhimisho ya Mauaji ya Kimbari yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza kuhusu mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda wakati wa maadhimisho ya miaka 23 yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim  akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 13 ya mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Nyimbo za mataifa mawili Tanzania na Rwanda zikiimbwa wakati wa maadhimisho ya miaka 23 ya Kimbali nchini Rwanda yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam
Sheikh Hamis Mtonga akiomba dua wakati wa kuanza maadhimisho ya miaka 23 ya Kimbari ya nchini Rwanda leo.



Hivyo makala UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI

yaani makala yote UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ubalozi-wa-rwanda-nchini-waadhimisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UBALOZI WA RWANDA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI"

Post a Comment