TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA

TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA
kiungo : TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA

soma pia


TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA

Mwambawahabari
 DSC_0428
KUHUSU UTEUZI WA CATHERINE NYAKAO RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
Kwa mujibu wa Ibara ya 78(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa pamoja na Kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kikaochake cha tarehe 04 Mei, 2017imemteuaNduguCatherine NyakaoRuge kuwa Mbunge wa VitiMaalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kujazanafasiiliyoachwawazi na Mhe. Dkt. Elly Marco Macha.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteuaNduguCatherine NyakaoRuge baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kwa mujibu wa Kifungu cha 37(3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343,alitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuweponafasiwazi ya Mbunge wa VitiMaalumkupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, baada ya aliyekuwaMbunge wa VitiMaalumMhe. Dkt. Elly Marko Machakufarikiduniana hivyo kuweponafasiwazi.
Imetolewaleo tarehe 04 Mei, 2017 na:-
Kailima, R.K
MKURUGENZI WA UCHAGUZI


Hivyo makala TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA

yaani makala yote TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tume-ya-uchaguzi-yamteua-ndg-catherine_4.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA"

Post a Comment