title : Bungeni : Taswira mbalimbali za Mkutano wa Saba Bunge la 11, Dodoma
kiungo : Bungeni : Taswira mbalimbali za Mkutano wa Saba Bunge la 11, Dodoma
Bungeni : Taswira mbalimbali za Mkutano wa Saba Bunge la 11, Dodoma
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akiwasilisha randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura na Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia wakifatilia hoja mbalimbali katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Wabunge wa CCM wakijadili jambo katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Waziri wa Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama wakizungumza jambo na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe.Peter Msigwa katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Mbunge wa Konde,Khatib Said Haji(CUF) akiuliza swali katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
Hivyo makala Bungeni : Taswira mbalimbali za Mkutano wa Saba Bunge la 11, Dodoma
yaani makala yote Bungeni : Taswira mbalimbali za Mkutano wa Saba Bunge la 11, Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Bungeni : Taswira mbalimbali za Mkutano wa Saba Bunge la 11, Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/bungeni-taswira-mbalimbali-za-mkutano.html
0 Response to "Bungeni : Taswira mbalimbali za Mkutano wa Saba Bunge la 11, Dodoma"
Post a Comment