TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24

TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24
kiungo : TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24

soma pia


TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii

Katika kuendana na kasi ya Rais John Pombe Magufuli benki ya biashara ya TIB imeanzisha huduma za kibenki kwa masaa 24 katika tawi dogo la benki hiyo lililopo katika eneo la Bandari ya Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Mkurugenzi wa Benki ya Biashara ya TIB Frank Nyabundege amesema huduma hiyo inawawezesha wananchi wote kulipia kodi za aina mbali mbali pamoja na tozo zote za bandari.

Amesema hivi karibuni TIB benki na TRA ziliingia mkataba kwa kuunganisha mfumo wa malipo ya kodi ambapo mtu akilipa kodi kupitia mfumo huo katika tawi lolote la benki hiyo, taarifa zake zitaonekana moja kwa moja kwenye mtandao wa TRA.

Amesema kuwa, benki hiyo ya biashara (TIB), ndiyo benki pekee yenye dhamana ya kusimamia sehemu kubwa ya akaunti za TPA hivyo mwananchi atakapolipia tozo yoyote bandarini taarifa zake huonekana mara moja katika mtandao wake hivyo kurahisisha na kuwezesha kuendelea na taratibu zingine za utoaji mizigo kwa haraka zaidi.

“TIB bank inatoa huduma mbali mbali kutokana na mahitaji ya mteja, zikiwemo za akaunti za aina mbalimbali kwa makampuni na watu binafsi, mikopo ya muda mfupi na muda wa kati dhamana za kibenki uuzaji na ununuaji wa fedha za kigeni na shughuli zote za kibenki”, amesema Nyabundege.

Aidha amesema, benki hiyo ya kibiashara yenye matawi 6 nchini, Dar esSalaam matatu, Mwanza, Arusha na Mbeya inamilikiwa na serikali kwa asilimia 100 na pia inatoa huduma kwa watu binafsi taasisi binafsi na serikali.


Mkurugenzi wa Benki ya Biashara ya TIB Frank Nyabundege, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya benki hiyo kufanya kazi saa 24 Bandari ya Dar es Salaam
Mkurugenzi mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Benki ya Biashara ya TIB Frank Nyabundege , Theresia Soka akizungumzia ubora wa huduma hizo.
Watendaji wa Benki ya Biashara ya TIB
Sehemu ya Waandishi wa Habari walifika katika mkutano huo


Hivyo makala TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24

yaani makala yote TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tib-yaanza-kazi-bandarini-kwa-muda-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TIB YAANZA KAZI BANDARINI KWA MUDA WA SAA 24"

Post a Comment