title : TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA
kiungo : TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA
TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA
Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde inaeleza kuwa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo wa Jimbo la Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Mzee Philemone Ndesamburo amefariki Dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya KCMC, Mkoani humo. Taarifa za awali inaelezwa kuwa, Mzee Ndesamburo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na baadae akakimbizwa Hospitalini hapo kwa matibabu lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi na akafariki Dunia. Taarifa zaidi tutajulishana kadri zitakapokuwa zikitufikia.
Hivyo makala TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA
yaani makala yote TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tanzia-mzee-ndesamburo-afariki-dunia.html
0 Response to "TANZIA: MZEE NDESAMBURO AFARIKI DUNIA"
Post a Comment