SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
kiungo : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

soma pia


SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Tazama uchambuzi kidogo kutoka studio namba 2 kuhusu sakata la mchanga wenye madini na ripoti iliyokabidhiwa leo kwa mheshimiwa Rais Magufuli; https://youtu.be/pV0_GElRr0s

SIMU.TV: Baadhi ya wachimbaji wadogo mkoani Shinyanga wamepongeza uamuzi wa Rais Magufuli kupiga marufuku usafirishaji nje ya nchi mchanga wenye madini; https://youtu.be/JgaN2fYmIZg

SIMU.TV: Baadhi ya wananchi mkoani Iringa wamesema upotevu wa mapato hususani kwenye sekta ya madini unasababishwa na sheria zilizopitwa na wakati; https://youtu.be/m3XB0Xee66A

SIMU.TV: Baadhi ya wabunge mkoani Dodoma wamepongeza uamuzi wa Rais Magufuli kusimamia kikamilifu upotevu wa rasilimali za watanzania; https://youtu.be/oKIMnEwD90Q

SIMU.TV: Wananchi mkoani Mbeya wameitaka serikali kuangalia upya mikataba ya madini ili kuona kama ina manufaa kwa watanzania; https://youtu.be/lQO4sVP6K1M
SIMU.TV: Benki ya rasilimali nchini TIB kitengo cha biashara imeanza kutoa huduma kwa masaa 24 katika tawi lililoko kwenye bandari ya Dar Es salaam; https://youtu.be/4uYXWOlKbhE

SIMU.TV: Benki ya NMB imeanzisha akaunti maalumu ya biashara ndogo kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali wanaotaka kuanzisha viwanda; https://youtu.be/jKdF4Gj6HxE

SIMU.TV: Mamlaka ya mafunzo na ufundi stadi VETA na SIDO wamekubaliana kushirikiana kutoa mafunzo kwa wajasiriamali ili kuwaongezea uwezo; https://youtu.be/D83LkpFaDZM

SIMU.TV: Chama kikuu cha ushirika wilayani Masasi mkoani Mtwara kimefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 3.3 za wakulima wa Korosho; https://youtu.be/uTLorTble8Q  

SIMU.TV: Waziri wa habari na michezo Dkt Mwakyembe amesema serikali itaendelea kuunga mkono jitihada za kukuza soka la vijana; https://youtu.be/dcph22V3PZY

SIMU.TV: Kampuni ya SportPesa imezindua mashindano rasmi yatakayoshirikisha timu 8 zinazodhaminiwa na kampuni hiyo kutoka Tanzania na Kenya; https://youtu.be/dejhhV-IQNc


Hivyo makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

yaani makala yote SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/simu-tv-habari-kutoka-televisheni_24.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI"

Post a Comment