title : RAMADHAN KAREEM WAISLAM WOTE DUNIANI
kiungo : RAMADHAN KAREEM WAISLAM WOTE DUNIANI
RAMADHAN KAREEM WAISLAM WOTE DUNIANI
Timu nzima ya MMG chini yake Ankal Issa Michuzi, inawatakia mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ndugu wote katika Imaan ya Dini ya Kiislam, Duniani kote. Hiki ni kipindi muhimu sana kwa waislam wote katika Ibada ya Toba, hivyo tujitahidi kuhimizana kufanya ibada na kumcha Allah Sub Hannahu Wataala.
Amin
Ramadhan Kareem.
Hivyo makala RAMADHAN KAREEM WAISLAM WOTE DUNIANI
yaani makala yote RAMADHAN KAREEM WAISLAM WOTE DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAMADHAN KAREEM WAISLAM WOTE DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ramadhan-kareem-waislam-wote-duniani.html
0 Response to "RAMADHAN KAREEM WAISLAM WOTE DUNIANI"
Post a Comment