RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali (hawaonekani pichani) waliohudhuria katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Mama Janeth Magufuli (Mke wa Rais), Mama Sizakele Zuma wakwanza kulia (Mke wa Rais wa Afrika Kusini) wakati nyimbo ya Taifa ikipigwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akizungumza katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akiwa amemshika mkono Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim wakati akizungumza jambo na Rais Msaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa mara baada ya kumalizika kwa Dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati Bendi ya Kilimanjaro “Wana njenje” ilipokuwa ikitumbuiza katika Ukumbi wa Ikulu katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa Rais Zuma.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati Bendi ya Kilimanjaro “Wana njenje” ilipokuwa ikitumbuiza katika Ukumbi wa Ikulu katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa Rais Zuma.
 Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Anna Mghwira mara baada ya Dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam, Pembeni ni Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa Rais huyo wa Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Viongozi mbalimbali wa Kisiasa na Serikali wakiwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam. 

PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-wa-afrika-kusini-jacob-zuma_12.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment