RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitabasamu wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo nchini yamefanyika Kitaifa katika Chuo cha Ushirika, Moshi Mkoani Kilimanjaro.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa wanapita mbele yake kwa njia ya  maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo nchini yamefanyika Kitaifa katika Chuo cha Ushirika, Moshi Mkoani Kilimanjaro. Wengine katika picha ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai,  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora Angela Kairuki pamoja na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya.
 Sehemu ya Wafanyakazi waliofika kwenye Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono wakati wa wimbo wa Mshikamano daima pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai,  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora Angela Kairuki, Rais wa Shirikisho la Vyama vya vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Saidik.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amenyanyua juu mikono mara baada ya kuimba wimbo wa Mshikamano Daima pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai,  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora Angela Kairuki Rais wa Shirikisho la Vyama vya vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Saidik.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wafanyakazi katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wawili wenye ulemavu mara baada ya kumaliza kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyakazi na wadau mbalimbali waliohudhuria katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru Wafanyakazi mbalimbali wakati akiondoka katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA




Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-dkt-magufuli-ahutubia-sherehe-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO"

Post a Comment