RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA

RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA
kiungo : RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA

soma pia


RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA

mwambawahabari
1

Rais Dk John Pombe Magufuli akipokea ripoti kutoka kwa  Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Mwenyekiti wa Kamati Maalum  ambayo ilipewa kazi ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga   uliomo ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali  Bandarini na sehemu mbalimbali hapa nchini katika hafla iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 24/5/2017, Katikati ni Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-IKULU DAR ES SALAAM)
2
Rais Dk John Pombe Magufuli akipokea ripoti kutoka kwa  Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Mwenyekiti wa Kamati Maalum  ambayo ilipewa kazi ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga   uliomo ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali  Bandarini na sehemu mbalimbali hapa nchini hafla hiyo imefanyika   Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 24/5/2017, Katikati ni Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan na kulia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Mh. Kassim Majaliwa.
……………………………………..
Huu ni muhtasari wa kamati ya uchunguzi wa mchanga wa madini kama ulivyowasilishwa na mwenyekiti wake Prof Mruma hii leo Ikulu!.
1.Kamati ilikuwa na kazi ya kuchunguza aina na kiwango cha madini yaliyopo ndani ya mchanga wa madini unaosafirishwa nje!.
2.Chimbuko la utafiti huo ni kutojulikana kwa kiwango cha makinikia na mikataba yake!.
3. Hadidu za rejea zilikuwa ,Kufanya uchunguzi wa makinikia kwenye bandari ya Dar es salaam na migodini,Kufanya uchunguzi wa kimaabara ili kujua thamani na aina ya madini yaliyopo kwenye makinikia,kuchunguza uwezo wa scanner zilizopo bandarini,kuchunguza uwezo wa TMAA katika kusimamia makinikia,
4.Kamati ilitembelea bandari ya Dar es salaam,bandari kavu na kwenye migodi ya Bulyanhuru na Buzwagi,yapo makontena ambayo kamati ilichukua sampuli ya juu na chini,sampuli nyingine ilikuwa zigzaga!.
5.Kamati ilichunguza uwezo wa scanner kupima makinikia!.
6.Kamati ilikokotoa thamani ya madini yaliyopatikana kwenye makinikia!.
MATOKEO YA UCHUNGUZI
1.Kamati imebaini uwepo wa dhahabu kiasi Kikubwa cha dhahabu kwenye makinikia,katika makontena 277 yaliyozuiliwa kulikuwa na tani saba za dhahabu!.
2.Makontena 277 yaliyozuliwa yalikuwa na dhahabu yenye thamani zaidi ya shilingi Trilioni moja nukta moja nne saba!.
3.Kamati ilibaini uwepo wa madini ya shaba,Silver,surpher,chuma.
4.Copper pekee ilikuwa ya thamani ya shilingi Bilioni 23.3,hapa kulikuwa na tofauti kubwa na ripoti ya serikali ambayo ilionesha kuwa na thamani  ya Bilioni 13.
4.Upande wa silver kamati ilibaini uwepo wa silver ya thamani ya bilioni 2.1.tofauti na ripoti ya Serikali ilionesha thamani ya Bilioni 1.
5.Upande wa surpher kamati ilibaini uwepo wa surpher ya thamani ya shilingi bilioni 1.9,kamati ilibaini madini madini haya hayapo katika mrabaha
6.Kamati ilibaini uwepo wa madini ya chuma yenye thamani ya shilingi Bilioni 2.3,
7.Kamati ilibaini uwepo wa madini mkakati ambayo kwa sasa yanahitajika sana duniani yenye thamani kati ya bilioni 129.5 mpaka  bilioni 261.5
Thamani ya madini yote katika makinikia kwenye makontena 277 yaliyochunguzwa kamati imebaini yana thamani ya triloni 1.339,ambazo serikali haipati hasa senti moja na hayapo kwenye mrabaha!.
8.Kamati imegundua uwepo wa madini mengine mengii ambayo hayarekodiwi kwenye nyaraka za serikali!.
9.Kamati imebaini wakala wa madini Tanzania hawafungi utepe kwenye makontena kuonesha viwango vya madini,kamati imebaini ufungwaji huu kufanyika wakati wa kusafirisha makontena.
10.Kamati imebaini scanner za bandarini kutokuwa na uwepo wa kubaini utotoshwaji wa mali!.
MAPENDEKEZO YA KAMATI
1.Serikali isitishe usafirishaji wa mchanga nje ya nchi
2.Serikali ihakikishe mitambo ya kusafisha makinikia unafanyika nchini
3.TMAA ifunge utepe mara baada ya mchanga kupakiwa kwenye makontena!.
4.TMAA ipime metal zote kwenye makininia
5.TMAA ipime viwango vyote vya makinikia na madini kwenye maabara bila kujali ripoti ya msafirishaji hii itasaidia Serikali kupata mrabaha!.
6.Serikali iwachukulie hatua watendaji wa TMAA na wizara husika.
7.Serikali iweke mfumo kushtukiza kwenye udhibiti wa madini!.
8.Serikali itumie wataalam wa mionzi kwenye scanner za bandarini!.
3
Rais Dk John Pombe Magufuli akielekezwa jambo wakati akipokea  ripoti ya ukaguzi  kutoka kwa Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Mwenyekiti wa Kamati Maalum  ambayo ilipewa kazi ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga  uliomo ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali  Bandarini na sehemu mbalimbali hapa nchini  Ikulu jijini Dar es Salaam, Katikati ni Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan na kulia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Mh. Kassim Majaliwa.
4
Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza  wakati akipokea  ripoti ya ukaguzi wa madini katika makontena hayo  Katikati Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na kulia  ni Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan.
5
Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza Madini katika Mchanga ulioko kwenye makontena ambayo yamezuiliwa maeneo mbalimbali nchini akizungumza wakati wakiwasilisha ripoti hiyo Ikulu jijini Dar es salaam leo
 6
Rais Dk John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan wakifuatilia kwa makini wakati Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Mwenyekiti wa Kamati Maalum  ambayo ilipewa kazi ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga   uliomo ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali  Bandarini na sehemu mbalimbali hapa nchini alipokuwa akiwasilisha ripoti hiyo.
7 
Rais Dk John Pombe Magufuli ,  Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa  wakifuatilia kwa makini wakati Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Mwenyekiti wa Kamati hayupo pichani  alipokuwa akiwasilisha ripoti hiyo.
12
Rais Dk John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali wa serikali mara baada ya kupokea ripoti hiyo.
13
Waimbaji Frora Mbasha, Kalala Junior na Shilole pamoja na wenzao wakitumbuiza wimbo maalum wakati wa kuwasilishwa kwa ripoti hiyo.
14
Wasanii mbalimbali wakitumbuiza wakati wa uwasilishwaji wa Ripoti hiyo Ikulu leo jijini Dar es salaam.
1516
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwapongeza wanasanii hao mara baada ya kuimba wimbo maalum wa kuhamasisha uzalendo kwa nchi Iukulu leo.
17
Rais Dk John Pombe Magufuli akimpongeza MwanaFA na wenzake.
18
Rais Dk John Pombe Magufuli akimpongeza Frola Mbasha na wenzake mara baada ya kuimba wimbo maalum wa kuhamasisha watanzania kuwa wazalendo mara baada ya kupokea ripoti hiyo.
19
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa srikali , Dini, vyombo vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla hiyo.
20
Wasanii mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika Ikulu leo.
2122
Rais Dk John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wasanii
23
Rais Dk John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyama vya Siasa.
24
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akizungumza na Kiongozi wa Kanisa la KKKT Kanda ya Mashariki na Pwani Dk Alex Malasusa.
25
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalaam Jenerari Venance Mabeyo akisalimiana na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Al- Hadi Salum Musa
26
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akisalimiana na Mwanamuziki Peter Msechu.
28
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akisalimiana na wadau Muhidin Michuzi katikati na Adam Gille wakati walipokutana Ikulu leo katika hafla ya uwasilishwaji wa Ripoti ya uchunguzi wa Kamontena ya Mchanga yaliyozuiliwa Bandarini na maeneo mbalimbali nchini.
8
Picha mbalimbali zikionyesha Rais Dk John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea ripoti ya uchunguzi wa Kamontena ya Mchanga yaliyozuiliwa Bandarini na maeneo mbalimbali nchini.

910
891011


Hivyo makala RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA

yaani makala yote RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-dk-john-pombe-magufuli-apokea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA"

Post a Comment