title : PICHA: MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA.
kiungo : PICHA: MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA.
PICHA: MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA.
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Ndetiye akiongoza semina ya Wabunge wote inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika leo Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. kushoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe
Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Amina Mollel akizungumza jambo wakati wa semina ya Wabunge wote iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika leo Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala PICHA: MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA.
yaani makala yote PICHA: MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PICHA: MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/picha-mwenyekiti-kamati-ya-kudumu-ya.html
0 Response to "PICHA: MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA."
Post a Comment