title : Pemba inahitaji msaada wako
kiungo : Pemba inahitaji msaada wako
Pemba inahitaji msaada wako
PEMBA INAHITAJI MSAADA WAKO WA KIBINADAMU KWA HARAKA.
Uongozi wa Taasis ya The Islamic Foundation kupitia idara yake ya Maafa unawaomba wananchi wote wa Tanzania bila kujali dini wala makabila, kuchangia haraka iwezekanavyo ndugu zetu wa Pemba baada ya kukumbwa na mafuriko yaliosababishwa watu wengi kukosa makazi na wengine kuhama katika makazi yao.
Hivyo basi Uongozi unawaomba kuchangia kupitia namba za simu zifuatazo
0767 627 284 MPESA
0785 627 284 AIRTEL MONEY.
Hakikisha Jina linatokea Radio Imaan.
Taarifa hii imetolewa na
Ahmed Bawazir.
Chairman Aid Relief Committee.
The Islamic Foundation.
https://youtu.be/4IeC_doOG48
www.islamicftz.org
Hivyo makala Pemba inahitaji msaada wako
yaani makala yote Pemba inahitaji msaada wako Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Pemba inahitaji msaada wako mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/pemba-inahitaji-msaada-wako.html
0 Response to "Pemba inahitaji msaada wako"
Post a Comment