MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED

MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED
kiungo : MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED

soma pia


MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED

Mwambawahabari
IMG-20170514-WA0036[1]
Singida United imedhamiria kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini baada ya klabu hiyo kuendelea kujiimarisha zaidi kwenye usajili wa wachezaji.

Baada ya kufanikiwa kusajili wachezaji wanne wa kigeni leo hii uongozi wa klabu hiyo umekamilisha usajili wa mshambuliaji aliyewai kuitumikia ya Mamelod Sondowns na Super Sport za nchini Afrika ya Kusini.

Mshambuliaji huyo anaetambulika kwa jina la Nhivi Simbarashe anakuwa mchezaji wa tano kusajili ndani ya klabu hiyo itakayoongozwa na kocha mahili Hans van Der Pluijm na msaidizi wake Fredrick Minziro.


Simbarashe pia ni mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zimbabwe amekuwa na mafanikio makubwa kwenye timu alizochezea ikiwemo kufunga goli pekee ambalo liliwaondosha TP Mazembe katika ushiriki wa michuano ya kombe la klabu bingwa barani Afrika wakati akiitumikia timu ya Mamelod Sondowns.

Uongozi wa Singida United umethibitisha kumpa kandarasi ya miaka miwili mchezaji huyo akitokea klabu ya Caps United ya nchini Zimbabwe ambapo baada ya kutokea Afrika Kusini alijiunga na timu hiyo ya nchini kwake.


Hivyo makala MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED

yaani makala yote MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mshambuliaji-wa-mamelod-sundowns-atua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED"

Post a Comment