MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM

MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM
kiungo : MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM

soma pia


MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM

Na Ripota wa Mafoto Blog, Dar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema mapandikizi ya upinzani na masalia ya wasaliti hawatapenya kwenye uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama kwa kuwa njama zao zimeshabainika. Kimesema kina taarifa kwamba waliotimuliwa CCM nao wanapanga safu za viongozi kwenye uchaguzi, lakini Chama kimejipanga vizuri katika kuchuja wagombea hivyo wenye nia hiyo hawatafanikiwa. 
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Lodrick Mpogolo, akizungumza na wanachama na Viongozi wa CCM Kata ya Manzese, wakati akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama, ambapo leo amenza rasmi katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rodrick Mpogolo, alisema hayo jana alipozungumza na wanachama na viongozi wa Chama katika ukumbi wa CCM kata ya Manzese wilayani Ubungo,Dar es Salaam. 

Alisema kuna mapandikizi kutoka upinzani wanajipanga kugombea uongozi CCM jambo ambalo linafahamika hivyo hakuna atakayepenya na hatutaruhusu 'virusi' kwa namna yoyote ile. Mpogolo pia aliwaonya viongozi wa CCM wanaondekeza ugomvi ndani ya Chama na kuwataka wakatafute vyama vingine ambavyo ni maarufu kwa kugombana hadi kutwangana ngumi. 

Alisema katika mageuzi yanayofanyika sasa Chama hakitaruhusu viongozi wa aina hiyo kuendelea kuvuruga a mani, kuwachafua na kuwakandamiza wanachama wenzao. Mpogolo alisema viongozi wenye hulka ya ugomvi, kukandamiza wanachama ndio chanzo cha kupunguza kura za 

CCM katika uchaguzi, hivyo Chama hakipo tayari kuwavumilia. ''Viongozi hawa wanajulikana, kama hawawezi kubadilika, waende wakajiunge na vyama vingine ambavyo ni maarufu kwa kupigana. CCM tunahitaji kujenga umoja na upendo baina yetu maana ndio silaha ya ushindi, "alisema. 

Mpogolo alisema viongozi hao wameumiza wana CCM hadi wengine wakaenda upinzani jambo ambalo kwenye CCM mpya na Tanzania, hawana fursa ya kuendelea kutesa wenzao. katika hatua nyingine Mpogolo aliwataka wana CCM ambao wanamuwaza aliyekuwa Waziri Mkuu, na mgombea urais wa Ukawa Edward Lowassa, wasipoteze muda wao kwa kuwa huu ni wakati Rais Dk. John Magufuli. "Naona kuna watu bado wanawaza Ukawa, wengine bado wanafikiria mtu fulani. Ndugu zangu hii ni CCM mpya, hakuna Lowassa wala Ukawa. Nimepita mikoa 26,Watanzania wanasema hawataki upinzani, "alisema. 

Mpogolo alipiga marufuku uendeshaji wa vikao vya kushughulika na badala yake wafanye vikao vya kujenga Chama, na katika kipindi hiki cha uchaguzi wa CCM, wajielekeze kuchagua viongozi bora wasiotokana na rushwa. Alisema CCM inatakiwa kuwa mfano katika kudhibiti rushwa na kujenga nidhamu kwa viongozi na wanachama, ili iendelee kuwa kimbilio la wanyonge na Watanzania kwa ujumla. 



Hivyo makala MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM

yaani makala yote MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mpogolo-aanza-ziara-ya-kuimarisha-chama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM"

Post a Comment