Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii.

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii.
kiungo : Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii.

soma pia


Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii.

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho, Dkt.Chuwa amewataka wafanyakazi hao kufanya kazi kwa bidii na weledi ili kuboresha zaidi upatikanaji wa takwimu rasmi nchini
Kaimu Mkurugenzi wa Utawala, Fedha na Masoko Bi. Lilian Karumuna wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu akifafanua jambo wakati wa kikao cha wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam
Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania tawi la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (TUGHE) Bi. Raya Mikidadi akifafanua jambo wakati wa kikao cha wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) wakati wa kikao cha wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani) wakati wa kikao cha wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. (Picha na Veronica Kazimoto)


Hivyo makala Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii.

yaani makala yote Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mkurugenzi-mkuu-wa-ofisi-ya-taifa-ya_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afanya Kikao na Wafanyakazi wa Ofisi Hiyo na Kuwataka Kufanya Kazi Kwa Bidii."

Post a Comment