title : MEYA WA JIJI LA DAR AKUTANA NA KAMANDA WA KIKOSI CHA MAJI NCHINI AUSTRALIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : MEYA WA JIJI LA DAR AKUTANA NA KAMANDA WA KIKOSI CHA MAJI NCHINI AUSTRALIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
MEYA WA JIJI LA DAR AKUTANA NA KAMANDA WA KIKOSI CHA MAJI NCHINI AUSTRALIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo ametembelewa ofisini kwake na Kamanda wa kikosi cha maji Nchini Australia Cameron Steily ambapo pamoja na mambo mengine , ametumia nafasi hiyo kumkaribisha mwenyeji wake jijini hapa. Kamanda Cameron atakuwepo Jijini hapa hadi Mei 15.
Kamanda wa kikosi cha wanamaji Nchini Australia Cameron Steily akimkabizi zawadi Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo alipomtembelea ofisini kwake leo.
Kamanda wa kikosi cha wanamaji Nchini Australia Cameron Steily akimsisitiza jambo Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita alipomtembelea ofisini kwake leo. Meya Mwita alitumia nafasi hiyo kumkaribisha jijini hapa.
PICHA ZOTE NA CHRISTINA MWAGALA, OFISI YA MEYA WA JIJI
Hivyo makala MEYA WA JIJI LA DAR AKUTANA NA KAMANDA WA KIKOSI CHA MAJI NCHINI AUSTRALIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote MEYA WA JIJI LA DAR AKUTANA NA KAMANDA WA KIKOSI CHA MAJI NCHINI AUSTRALIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MEYA WA JIJI LA DAR AKUTANA NA KAMANDA WA KIKOSI CHA MAJI NCHINI AUSTRALIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/meya-wa-jiji-la-dar-akutana-na-kamanda.html
0 Response to "MEYA WA JIJI LA DAR AKUTANA NA KAMANDA WA KIKOSI CHA MAJI NCHINI AUSTRALIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment