title : Mbolea za Yara zanufaisha wakulima wa Viazi, Mbeya
kiungo : Mbolea za Yara zanufaisha wakulima wa Viazi, Mbeya
Mbolea za Yara zanufaisha wakulima wa Viazi, Mbeya
Afisa kilimo kutoka kampuni ya Yara Tanzania Ltd ambao ni wazalishaji na wasambazaji wa mbolea nchini, Maulid Mkima (kushoto) akiwa na mmoja wa wakulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya, Furaha Ngala alipotembelea shambani kwake na kuona matokea ya zao hilo baada ya kutumia mbolea aina ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ.
Afisa kilimo kutoka kampuni ya Yara Tanzania Ltd ambao ni wazalishaji na wasambazaji wa mbolea nchini, Maulid Mkima (kushoto) akitoa elimu juu ya matumizi bora ya mbolea ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ kwa ajili ya zao la viazi kwa wakulima katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya.
Afisa kilimo kutoka kampuni ya Yara Tanzania Ltd ambao ni wazalishaji na wasambazaji wa mbolea nchini, Maulid Mkima (katikati) akiwa shambani kwa mkulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya Mbeya, Furaha Ngala (kulia) kwa ajili ya kukagua maendeleo ya zao hilo baada ya kutumia mbolea ya YaraMila WINNER, YaraLiva NITRABOR na YaraVita TRACEL BZ mpangilio wa lisha linganifu kwenye viazi. Kushoto ni bwana shamba msaidizi wa kampuni hiyo kutoka Mbeya, Medson Joseph
Hivyo makala Mbolea za Yara zanufaisha wakulima wa Viazi, Mbeya
yaani makala yote Mbolea za Yara zanufaisha wakulima wa Viazi, Mbeya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mbolea za Yara zanufaisha wakulima wa Viazi, Mbeya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mbolea-za-yara-zanufaisha-wakulima-wa.html
0 Response to "Mbolea za Yara zanufaisha wakulima wa Viazi, Mbeya"
Post a Comment