MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII

MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII
kiungo : MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII

soma pia


MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII

Kituo cha utangazaji cha EFM redio kimecheza mechi ya kirafiki baina yao na madereva daladala siku ya leo ya tarehe 24/05/2017 katika Kiwanja cha Tanganyika Packers kuanzia saa kumi Jioni, ambapo watangazaji  wa Redio hiyo wamechuana vilivyo na wadau wao wakubwa.

Redio hii ya vijana na jamii kwa ujumla imezidi kutoa kipaumbele kwenye michezo hususani mpira wa miguu kwani imekua ikicheza mechi nyingi za kirafiki kila inapobidi ili kuhakikisha inajenga mahusiano mazuri na jamii inayoizunguka kama wadau wa taasisi mbalimbali ili kukuza vipaji vyao.

Mechi hizi za kirafiki ni kati ya michezo ambayo husaidia jamii kukutana kwa pamoja na kujenga mahusiano mazuri na vile vile husaidia kuhamasisha vijana kufanya mazoezi katika kuunga mkono kampeni ya serikali ya kufanya mazoezi  katika jamii ili kujiepusha na hatari ya kupata magonjwa yasioambukizwa.


Hivyo makala MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII

yaani makala yote MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mazoezi-chachu-ya-afya-na-uhusiano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAZOEZI CHACHU YA AFYA NA UHUSIANO MZURI KATIKA JAMII"

Post a Comment