title : Matukio : TEA Yakabidhi Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Pugu
kiungo : Matukio : TEA Yakabidhi Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Pugu
Matukio : TEA Yakabidhi Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Pugu
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Graceana Shirima, akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo Wilaya ya Ilala Dar es Salaam (katikati) Kaimu Mkurugenzi TEA, Dk. Erasmus Kipesha, na Kaimu Mwanasheria TEA Igenge Edwin. (Picha na Francis Dande).
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela, akizungumza katika makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam (kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA Graceana Shirima (kulia), Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pugu, Jovinus Mutabuzi.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Graceana Shirima, akimkabidhi baadhi ya nyalaka Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki Shirika la Nyumba la Taifa, Hassan Mohamed, katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam.
Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa TEA, Sylvia Lupembe akijadiliana jambo na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Pugu wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wadau wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pugu, Jovinus Mutabuzi (kushoto), akifafanua jambo katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Graceana Shirima, wakikagua moja ya jengo la Shule ya Sekondari Pugu, kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Msongela Palela, Dar es Salaam.
Error Icon Address not found Your message wasn't delivered to gadiola25gmail.com@gmail.com because the address couldn't be found. Check for typos or unnecessary spaces and try again. LEARN MORE The response from the remote server was: 550 5.1.1 The email account that you tried to reach does not exist. Please try double-checking the recipient's email address for typos or unnecessary spaces. Learn more at http://ift.tt/2ci6ZQQ y39si7391416wrd.240 - gsmtp Final-Recipient: rfc822; gadiola25gmail.com@gmail.com Action: failed Status: 5.1.1 Remote-MTA: dns; gmail-smtp-in.l.google.com. (2a00:1450:400c:c08::1a, the server for the domain gmail.com.) Diagnostic-Code: smtp; 550-5.1.1 The email account that you tried to reach does not exist. Please try 550-5.1.1 double-checking the recipient's email address for typos or 550-5.1.1 unnecessary spaces. Learn more at 550 5.1.1 http://ift.tt/2ci6ZQQ y39si7391416wrd.240 - gsmtp Last-Attempt-Date: Sun, 21 May 2017 07:29:29 -0700 (PDT) ---------- Forwarded message ---------- From: Francis Dande To: gadiola25gmail.com@gmail.com Cc: Bcc: Date: Sun, 21 May 2017 17:29:25 +0300 Subject: TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Graceana Shirima, akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo Wilaya ya Ilala Dar es Salaam (katikati) Kaimu Mkurugenzi TEA, Dk. Erasmus Kipesha, na Kaimu Mwanasheria TEA Igenge Edwin. (Picha na Francis Dande).
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela, akizungumza katika makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam (kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA Graceana Shirima (kulia), Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pugu, Jovinus Mutabuzi.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Graceana Shirima, akimkabidhi baadhi ya nyalaka Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki Shirika la Nyumba la Taifa, Hassan Mohamed, katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam.
Hivyo makala Matukio : TEA Yakabidhi Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Pugu
yaani makala yote Matukio : TEA Yakabidhi Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Pugu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : TEA Yakabidhi Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Pugu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/matukio-tea-yakabidhi-mradi-wa.html
0 Response to "Matukio : TEA Yakabidhi Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Pugu"
Post a Comment