MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017.

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017.
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017.

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017.

Mwambawahabari
PIX 1-Mwenyekiti
 Mwenyekiti  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 2-Mhe.Kairuki akitolea ufafanuzi vyeti feki
 Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 3-Mhe.Kimwele akiongea
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 4-Dk Kugwangala akiongea
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 5-Waziri wa afya akiongea
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

PIX 7-Mhe.Bashungwa
Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe.Innocent Bashungwa akiuliza swali  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
OL
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Oliver Semuguruka  akiuliza swali  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
HD
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussein Mwinyi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira  wakifurahia jambo katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 13-Mhe Kawambwa akichangia
Mbunge wa Bagamoyo(CCM)  Mhe.Shukuru Kawambwa akiuliza swali  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 14-Wabunge wakiteta jambo
Wabunge wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo(CHADEMA) Wakijadili jambo wakati wa kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO,DODOMA


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017.

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017."

Post a Comment