title : BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR
kiungo : BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR
BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wadau wa Habari kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani hapo katika Chuo cha Habari Kilimani Mjini Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud, Katibu Mtendaji Baraza la Habari Tanzania Bw. Kajubi Mukajanga, kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Chuo cha Habari Zanzibar Nd. Chande Omar na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo anayesimamia Habari Nd. Hassan Mitawi.
Mkuu wa Chuo cha Habari Zanzibar Nd. Chande Omar Omar akitoa ufafanuzi juu ya Umuhimu wa Wanahabri kuzingatia suala la Amani katika uandishi wao wa kila siku.
Viongozi wa Meza Kuu kutoka kulia Katibu Mtendaji wa MCT Bw. Kajubi Mukajanga, Mkuu wa Mkoa Mjini Maghribi Mh. Ayoub, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif, Mkuu wa Chuo cha Habari Zanzibar Nd. Chande na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Nd. Hassan Mitawi wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari hapo Kilimani.
Kikundi cha Utamaduni cha Mkoa Mjini Magharibi kilitoa Burdani katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari hapo katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani Mjini Zanzibar.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR
yaani makala yote BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/balozi-seif-ali-iddi-aongoza-wadau.html
0 Response to "BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR"
Post a Comment