MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM

MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM

Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir, akisoma taarifa ya shule kwa Mgeni rasmi katika mahafali hayo ya 29 ya kidato cha Sita, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka (kulia), wakati wa mahafali hayo. Kushoto ni Mwalimu wa Taaluma, Mwalimu Rashid Kassim.
Mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka, akizungumza na wahitimu hao, wakati wa mahafali hayo, jijini Dar es Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir na kulia ni Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al- Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa.
Mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha Kiongozi Bora, mhitimu Khadija Mashaka, wakati wa mahafali hayo, jijini Dar es Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti Mwanafunzi Bora katika somo la Geography, mhitimu Mussa Baruti, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.



Hivyo makala MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mahafali-ya-29-ya-kidato-cha-sita-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment