MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE:

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE: - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE:, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE:
kiungo : MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE:

soma pia


MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE:


Mwambawahabari
Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad Leo ameanza Ziara Rasmi ya siku tatu katika wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam kwa kuwatembelea Wazee wa CUF, kuwafariji Wagonjwa na wafiwa mbalimbali. Ziara hiyo iliyoanza majira ya saa 5 kamili asubuhi katika Kata ya Upanga ambapo alikwenda kumjulia hali mjane wa Marehemu Imamu Mohamed Ali Abeid,   baadae alikwenda kumjulia hali Mzee Mawanja(Vingunguti), Mzee Hussein Kutopa –Mratibu CUF (kata ya Vingunguti) , Sheikh Juma, Bibi Hidaya, Hamad Tafiko, Mzee Mfaume (kata ya Gongolamboto), wengine waliotembelewa na Katibu Mkuu ni pamoja na Mzee Kombo Faki, Yusuf Musa, Mzee Hamisi (kata ya Majohe).

Akiwasalimu wananchi wengi waliojitokeza kwa furaha kubwa kumuona Kiongozi wao katika maeneo mbalimbali aliyofika, Maalim Seif amewahakikishia kuwa CUF ni Taasisi Imara na kamwe haiwezi kuyumbishwa na mtu yeyote yule, na kwamba itazishinda changamoto zote zilizojitokeza muda si mrefu. Amewataka vijana kujiandaa kwenda kuchukua ofisi yao ya Buguruni wakati wowote kuanzia sasa.

Katika msafara huo Katibu Mkuu aliambatana na Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe Musa Kafana, Naibu Meya wa Ilala Mhe. Omari Kumbilamoto, Mhe. Abdallah Mtolea (MB-Temeke, na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa), Mhe, Shaweji Mketo(Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Uchaguzi), Mhe. Mbarala Maharagande (Naibu Mkurugenzi wa Habari), Mhe. Bakari Shingo ( Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala), Mhe. Salma Mwassa(MB-V/Maalum), pamoja na Viongozi wengine mbalimbali wa Jumuiya za Chama na Walinzi (Blue Guards).
Mheshimiwa, Maalim Seif ataanza ziara rasmi ya ukaguzi wa uhai na shughuli za Chama katika Mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara kwa ratiba itakayotolewa hivi karibuni.
Haki Sawa Kwa Wote

Maharagande,
NMHUMU
1/5/2017


Hivyo makala MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE:

yaani makala yote MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE: Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE: mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/maalim-seif-sharif-hamad-apokelewa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAALIM SEIF SHARIF HAMAD APOKELEWA JIJINI DAR ES SALAAM NA MANAIBU MEYA NA WABUNGE:"

Post a Comment