MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA

MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA
kiungo : MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA

soma pia


MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA

Mei 25 kila mwaka Mataifa mbalimbali Barani Afrika huadhimisha Siku ya Afrika kama sehemu ya mataifa hayo kukumbuka ukombozi wake barani Afrika. Jijini Mwanza, watengenezaji na wauzaji wa vitu vya kitamaduni wamewataka watanzania kuongeza kasi ya matumizi ya vitu hivyo badala ya kutegemea vitu kutoka mataifa ya Maghabiri.

Kulia ni Mzee Francis Gabriel pamoja na Bi.Salome Babae ambao ni watengenezaji na wauzaji wa bidhaa za asili wakiwa kwenye eneo lao la biashara. Wanapatikana eneo la darajani Jijini Mwanza. 
Mawasiliano yao ni 0783 83 83 73

Na George Binagi-GB Pazzo
Watanzania wameshauriwa kupenda kutumia bidhaa za asili ikiwemo mavazi na urembo ili kuondoakana na utumwa wa kutovipa thamani vitu hivyo.
Wauzaji wa vitu vya asili katika eneo la darajani jijini mwanza, wayasema hayo wakati wakizungumza na lake fm kuhusiana na maadhimisho ya siku ya afrika hii leo.
Maadhimisho ya siku ya afrika yalianza kuadhimishwa tangu mei 25 mwaka 1963 yakilenga kuyahamasisha mataifa ya bara la afrika kujikomboa kutoka utumwani hususani kiakiri na kifira ili kuthamini zaidi tamaduni za kiafrika.


Hivyo makala MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA

yaani makala yote MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/maadhimisho-ya-siku-ya-afrika-wauzaji_25.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA"

Post a Comment