John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora

John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora
kiungo : John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora

soma pia


John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora

MFANYAKAZI bora wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, John Kopwe, toka Kurugenzi ya Rasilimali Watu na Utawala, akipokea cheti kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambazo kitaifa zilifanyika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, mkoani Kilimanjaro. Mfuko PPF umetoa kiasi cha shilingi milioni tano kwa Kopwe ikiwa ni motisha kwa kila mfanyakazi bora wa mwaka wa Mfuko wa PPF.
BAADHI ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambazo kitaifa zilifanyika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, mkoani Kilimanjaro.


Hivyo makala John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora

yaani makala yote John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/john-kopwe-wa-ppf-aibuka-mfanyakazi-bora.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "John Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora"

Post a Comment