title : INTRODUCING: SSK GROUP - Habari Ya Leo
kiungo : INTRODUCING: SSK GROUP - Habari Ya Leo
INTRODUCING: SSK GROUP - Habari Ya Leo
Wakizoeleka kama punchline rappers, SSK kwa ujumla wamefanikiwa kubadilisha dhana hiyo na kuweza kufanya Muziki ambao unalenga mambo ya kijamii hususan Mahusiano, Uchumi, Furaha, Imani na Mapito ya maisha na kadhalika, na wamefanikiwa kufanya hivyo kwa kutumia lugha nyepesi na bado kwa kuzingatia misingi ya Muziki wa Hip Hop. SSK inatarajia kuwaonesha mashabiki upande wa pili wa rappers hawa ila pia kuwa funzo la umoja, hususan katika kipindi hiki ambacho makundi na umoja wa Wasanii unavunjika kila siku.
Jina la SISI SIO KUNDI lilikuja kiutani ila lina maana kwa sababu, kila msanii ataendelea kuwa na individual brand ila umoja unakuja pale wanapofanya kazi kama SSK. Ila pia sisi sio kundi sababu ni zaidi ya kundi, maana malengo yetu tunayotarajia kuyafikia ni kuwa zaidi ya kundi la muziki.
Kundi lilizaliwa wakati wa utayarishaji wa wimbo wa "Cjamoker" ambao marapper wote hawa walishiriki. Wimbo rasmi wa utambulisho wa kundi unaitwa "Habari Ya Leo" na tayari SSK wapo kwenye hatua za mwisho Za uandaaji wa Album yao itakayoitwa "SISI SIO KUNDI". Mabibi na Mabwana nawaletea kwenu... SSK!!
Hivyo makala INTRODUCING: SSK GROUP - Habari Ya Leo
yaani makala yote INTRODUCING: SSK GROUP - Habari Ya Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala INTRODUCING: SSK GROUP - Habari Ya Leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/introducing-ssk-group-habari-ya-leo.html
0 Response to "INTRODUCING: SSK GROUP - Habari Ya Leo"
Post a Comment