introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE

introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE
kiungo : introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE

soma pia


introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE

Bongolos ni kundi la wanamuziki wawili, Drew (Kiume) na Tamu (Kike), lenye makazi yake jijini Dar es Salaam, Tanzania. Bongolos ni kundi lililoundwa na mtayarishaji mkongwe wa muziki Afrika Mashariki P-Funk Majani ndani ya Bongo Records mwaka 2016. Jina Bongolos lilipatikana kutoka kwa mwanamuziki wa hip hop wa Marekani, Mims baada ya kuja kufanya kolabo nchini Tanzania chini ya Bongo Records.
Drew wa Bongolos alikutana na mtayarishaji P-Funk Majani baada ya kuona ujumbe mfupi wa maneno kwenye mitandao ya kijamii kwamba mtayarishaji huyo alikuwa anatafuta wanamuziki chipukizi. Tamu wa Bongolos alikutana na mtayarishaji huyo baada ya kuunganishwa na rafiki yake.
Bongolos wanafanya muziki ambao ni mchanganyiko wa muziki wa kufoka na kuimba ambao pia unawezwa kuitwa Bongo Flava. Muziki wao umejawa na vionjo vya Kiafrika kwenye mirindimo yake. Bongolos wameachia ngoma yao ya kwanza iitwayo Wape.

Song : WAPE

Artists : Bongolos ft Asteria Mvungi

Music Producer : P-Funk Majani

Copyright Holder : Bongo Records Ltd


Hivyo makala introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE

yaani makala yote introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/introducing-new-song-new-group-from-p.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "introducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos ft Asteria - WAPE"

Post a Comment