IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO

IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO
kiungo : IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO

soma pia


IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO

  Kamshina wa Polisi nchini Simon Sirro akiandaliwa kwenda kula kiapo  mbele ya  Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  kuwa Kamshina Jenerali wa Polisi nchini  leo Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvua cheo cha Kamishna wa Polisi Simon Sirro na kumvalisha cheo cha Kamishna Generali wa Jeshi la polisi nchini leo Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule, Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Kamishna Generali wa Jeshi la Polisi Nchini Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kufanyia kazi Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro mara baada ya kumuapisha Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
  Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro akila kiapo cha maadili ya utumishi wa Umma mara baada ya kumuapisha  na Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  kuwa Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, makamu wa Rais Mhe. Samia suluhu Hassan, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba, Kaimu Jaji Mkuu Profesa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro pamoja na aliyekuwa IGP Ernest Mangu
 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, makamu wa Rais Mhe. Samia suluhu Hassan, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba,  Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro pamoja na aliyekuwa IGP Ernest Mangu pamoja na Makamishna wa Polisi
  Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, makamu wa Rais Mhe. Samia suluhu Hassan, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba,  Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro pamoja na aliyekuwa IGP Ernest Mangu pamoja na Makamishna wa Polisi na maafisa waandamizi
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro pamoja na aliyekuwa IGP Ernest Mangu. Picha na IKULU


Hivyo makala IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO

yaani makala yote IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/igp-mpya-simon-sirro-aapishwa-ikulu-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP MPYA SIMON SIRRO AAPISHWA IKULU DAR ES SALAAM LEO"

Post a Comment