BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO.

BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO.
kiungo : BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO.

soma pia


BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza katika kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabalozi, watendaji wa Seikali na wa Chama, leo. Katikati ni Mweneyekiti wa CCM Wilaya ya Sikonge Bisa Mbogo na kulia ni Katibu wa CCM Wilaya hiyo Emmanuel Alex
 Katibu wa CCM Wilaya ya Sikonge Emmanuel Alex akikabidhi taarifa ya uchaguzi nchani ya Chama kwa Ndugu Bulembo
Katibu wa CCM Wilaya ya Sikonge Emmanuel Alex akitoa maneno ya utambulizi kabla ya Ndugu Bulembo kuzungumza na Kamati ya Siasa ya Wilaya hiyo leo.Wajumbe Ukumbini. Picha zote na Bashir Nkoromo
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora leo, kuendelea na ziara yake ya mikoani kukagua na kuimarisha uhai wa chama na Jumuia zake, na pia kuzungumzia masuala ya uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Ndugu Wagasubi na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Sikonge Abisa Mbogo.



Hivyo makala BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO.

yaani makala yote BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/bulembo-aendelea-na-zaira-yake-sikonge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BULEMBO AENDELEA NA ZAIRA YAKE SIKONGE MKOANI TABORA LEO."

Post a Comment